GUMZO:JAMAA AOGELEA KILOMITA SABA NA NUSU(7.5) BAADA YA KUACHWA NA MASHUA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 23 October 2017

GUMZO:JAMAA AOGELEA KILOMITA SABA NA NUSU(7.5) BAADA YA KUACHWA NA MASHUA


John Craig akimkumbatia mkewe baada ya safari ndefu ya kuogelea

Mpiga mbizi mmoja raia wa Uingereza alilazimika kuogelea umbali wa kilomita 7.5 kwenda ufukweni nchini Australia baada ya kupoteleana na mashua yake huku akifuatwa na papa.

John Craig, 34, amelikuwa akivua samaki kwa kutumia mkuki magharibi mwa Autralia siku ya Ijumaa, lakini wakati alipoibuka kutoka kwenye maji hakuiona tena mashua ambayo ilikuwa ikiendeshwa na rafiki yake.
Utafiti:Papa wa Greenland wanaishi kwa muda mrefu zaidi

Bw. Craig alisema alimuona nyangumi alipokuwa akiomba msamaha.Haki miliki ya pichaJOHN CRAIGImage captionJohn Craig

Kisha akaanza safari ndefu ya kuogelea kwenda ufukweni kabla ya kufika ardhini na kutembe kwa karibu kilomita 30 hadi alipoonekana.

Mwanamume huyo mwenye ujuzi wa kupiga mbizi alihamia Australia miaka miwili iliyopita.
Mizoga ya nyangumi 300 kuhamishwa New Zealand

"Papa huyo alishinda akinikaribia kutoka pande zote. Alikuwa anajaribu kufahamu mimi ni nani au labda ningekuwa chakula chake." aliiambia BBC.

"Niliogopa. nilifikiri ningeliwa baharini, nyangumi huyo alishinda akinifuata."Image captionMagharibi mwa Australia


 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment