BREAKING NEWS:ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI LEO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 31 October 2017

BREAKING NEWS:ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI LEO
Mbunge Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Asubuhi ya Leo


Jeshi la Polisi bado halijaeleza sababu ya kumakamata, lakini Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Yeremiah Kulwa Maganja wamesema kwamba, sababu ya kukamatwa kwa Zitto Kabwe ni kutokana na mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika Kijichi mwishoni mwa juma.

Inadaiwa sababu za kukamatwa kwake hotuba aliyoitoa Kijichi wakati wa kufungua Kampeni za Udiwani.

Aidha, ACT Wazalendo wameeleza kwamba, wanasheria wa Chama wanashughulikia kujua sababu za ukamatajwi huo Zitto ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho.


Mbunge Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi leo asubuhi akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na amepelekwa Kituo cha Polisi Chang'ombe.
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment