BREAKING NEWS:UHURU KENYATTA ASHINDA URAISI - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 30 October 2017

BREAKING NEWS:UHURU KENYATTA ASHINDA URAISI

HABARI ZA HIVI PUNDEUhuru Kenyatta alipata kura 7,483,995


Bw Uhuru Kenyatta ametangazwa mshindi wa urais Kenya akiwa na kura 7,483,895 sawa na 98% na tume ya uchaguzi IEBC.Uhuru Kenyatta alipata kura 7,483,995, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya Wafula Chebukati ametangaza.IEBC imesema kura katika majimbo manne magharibi mwa nchi hiyo ambayo uchaguzi ulivurugika hayawezi kuathiri matokeo ya mshindiUhuru Kenyatta alipata kura 7,483,995, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya Wafula Chebukati ametangaza.Matokeo kamili ya wagombea wote:

Uhuru Kenyatta Jubilee 7,483,895 (98.28%)

Raila Odinga (Alisusia) ODM 73,228 (0.96%)

Mohamed Abduba Dida ARK 14,107 (0.19%)

Japheth Kavinga Kaluyu Mgombea wa kujitegemea 8,261 0.11

Michael Wainaina Mwaura Mgombea wa kujitegemea 6,007 0.08

Joseph Nthiga Nyagah Mgombea wa kujitegemea 5,554 0.07

John Ekuru Aukot Thirdway Alliance 21,333 0.28

Cyrus Jirongo UDP 3,832 0.05

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment