breaking news:RAISI MAGUFURI AMEMTEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU TANZANIA(BOT) - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 23 October 2017

breaking news:RAISI MAGUFURI AMEMTEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU TANZANIA(BOT)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amemteua Profesa Florens
Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, baada ya aliyepo sasa, Gavana Benno Ndulu kumaliza muda wake, miezi michache baadaye.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo wakati akiunuku vyeti kwa kamati zilizofanya uchunguzi wa kiwango, aina na thamani ya madini katika makinikia, ikulu jijini Dar es Salaam.

kabla ya uteuzi huo, Luoga ambaye kitaaluma ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na uteuzi wake utaanza baada ya Benno Ndulu kumaliza muda wake.
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment