BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 31 October 2017

31 October

ALICHOKIANDIKA NYARANDU PUNDE

 nyarandu
Lazaro nyarandu kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika maneno haya chini juu ya tuhuma inayoendelea mitandaoni na habari za uzushi.
Fake news alert! Habari hii ni ya kutungwa, kizushi, na kufikirika. Kibaya zaidi, ni ya UONGO. Siasa za aina hii ni za kizamani. Aibu tupu!


like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
31 October

OMOG APEWA NAFASI NYINGINE
Simba inataka kumpa mikoba Joseph Omog - Goal.com


Pamoja na taarifa kuendelea kuzagaa kwamba Kocha Joseph Omog kiota kimeanguka,

Kamati ya Utendaji ya Simba imekutana na kukubaliana Kocha Joseph Omog kuendelea kukinoa kikosi hicho.


Omog amekuwa katika hali ya hatihati kama vile atafukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu yake.


Lakini taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza, katika kikao hicho wamekubaliana Omog kuendelea na kazi yake.


“Lakini ametakiwa kubadili mambo na kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa, Simba inataka ushindi,” kilieleza chanzo.


Mwenendo wa Simba katika mechi nane ilizocheza imekuwa ni milima na mabonde kwa kupitia ushindi, sare, ushindi sare.


Hali hiyo imesababisha kuwepo kwa taarifa nyingi ambazo zinaeleza kwamba Omog anakaribia kutimuliwa.Hata hivyo, bado hali inaonekana kuwa haijatulia na Omog atalazimika kufanya kazi ya ziada kuhakikisha anabadili mambo.

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
31 October

NASSARI: SIKU MAGUFURI AKIHAMIA CHADEMA WATASEMA ALIUZA NYUMBA ZA SERIKARI

 Joshua Nassari
Kutokana sakata la mh nyarandu kuihama ccm, wanasiasa mbalimbali wametoa ya moyoni mwao ambao wakongwe wa ccm wamedai ameshindwa kwendana na kasi ya rais JPM. Mbungwe Joshua nassari hakusita kutoa ya moyoni kujibu tuhuma hizo kupitia account yake ya twitter kwa kuandika ya fuatayo.
Siwashangai uvccm wakimsema Nyalandu kuhusu Mali asili.
Najua ipo siku Magufuli nae akihamia Chadema watasema aliuza Nyumba za serekali.
— Joshua Nassari (@joshua_nassari)
usisahau kutembelea edusportstz kwa ajili ya habari za mastaa na viongozi mbalimbali katika kipengele kipya cha  uwanja wa mastaa

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
31 October

HAWA NDIO WANAOMUUDHI NAPE NNAUYE,MWENYEWE KAFUNGUKA


Nape Aeleza Watu Wanaomkwaza na Kumuudhi Kwenye Mitandao ya Kijamii

Mbunge wa Mtama, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kusema wapo baadhi ya watu wamekuwa wakimkazwa na kumuudhi kwenye mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakitafsiri vibaya vitu vitu anavyoweka wakidai anamsema Rais.

Nape Nnauye alisema hayo wiki iliyopita alipoongea na mwandishi wa EATV na kusema baadhi ya watu wamekuwa wakichukua baadhi ya vitu anavyoweka kwenye mitandao yake ya jamii na kuanza kusambaza wakimtuhumu kuwa anamsema Rais kitu ambacho anadai si kweli.
Mbunge huyo wa Mtama amesema kitendo hicho cha watu kuchukua maneno yake na kuanza kusema anamzungumzia Rais ni kitu ambacho kimekuwa kikimuumiza sana siku hizi.
"Maana watu kila nifanyalo wanaona kama namsema Rais hili linaudhi na kuniumiza sana siku hizi" alisisitiza Nape Nnauy

 yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
31 October

MAGUFULI:MAJIZI WALIOKUWA CCM WANAKIMBILIA CHADEMA


Wale Majizi Makubwa Waliokuwa CCM Wanakimbilia CHADEMA- Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini.

"Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele" alisisitiza Rais Magufuli
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI