BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 22 September 2017

NEEMA KUUSHUKIA MGODI WA BUZWAGI ;ACACIA YATOA MATARAJIO CHANYA


KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yatangaza matokeo chanya kutoka katika mfumo mpya wa kuchakata makinikia Mgodi wa Buzwagi.

ACACIA: Tunaamini kuwa mabadiliko haya yatasaidia kuongeza mapato ya Mgodi kutoka hasi na kuwa chanya pia tutaokoa ajira za watu maelfu.

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads


For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment