BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 10 September 2017

MANENO YA MDOGO WAKE LISSU JUU YA SAKATA LA TUKIO LA KUPIGWA RISASI MH TUNDU LISSU


Vicent Lissu, ni mdogo wa Tundu Lissu ambaye wamefuatana, kutoka kwa baba na mama mmoja, ambapo kufuatia tukio la kaka yake kupigwa risasi, amefunguka mengi ya moyoni kuhusu tukio hilo.


Vicent ameyasema hayo katika ibada maalum ya kum,uombea Lissu iliyofanyika kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Askofu Gwajima.

Vincent amesema Lissu ni mtu anayependa sana haki tangu wakiwa wadogo, kwa hiyo anajisikia vibaya kuona ndugu yake akiwa kitandani kwa sababu ya kutetea haki.

For Booking>>>
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI

No comments:

Post a Comment