BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 7 September 2017

BREAKING NEWS: WAZIRI WA TAMISEMI AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU
waziri wa tamisemi mh George simbachwene ameandika barua ya kujiuzulu mara baada ya kutajwa katika repoti ya uchunguzi wa madini iliyo wasiliswa leo mbele ya mh rais wa tanzania.
hatua hii nimara baada ya tamko la rais kuwataka wateule wake wote waliotajwa katika repoti hiyo kujiuzuru na kushughulikiwa na vyombo vya usalama

No comments:

Post a Comment