BREAKING NEWS: RAIS JPM AWATAKA WATEULE WAKE WALITAJWA KWENYE REPORT ZA MADINI WASHUGULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYO - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 7 September 2017

BREAKING NEWS: RAIS JPM AWATAKA WATEULE WAKE WALITAJWA KWENYE REPORT ZA MADINI WASHUGULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya uchunguzi wa madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na kamati mbili zilizoundwa na Bunge.
Pia amewataka wateule wake waliotajwa jatika lipoti hizo wajitathimini Na kujiuzuru ili kupisha uchunguzi wa vyombo vya ulinzi Na usalama.
Endelea kutembele edusportstz kwa Habari nyingine zaidi

No comments:

Post a Comment