BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 30 September 2017

30 September

YANGA NA MTIBWA WATUNISHANA MISURIMchezo huo ulio kuwa vuta nikuvute umemalizika pasipo timu yeyote kuchungulia lango la mwenzie.mpaka mchezo unamaliziki msimamizi wa mchezo huo alitoa kadi mbili za njano kwa makapu Na  Mohammed wa Mtibwa  kwa kumgonga Gadiel kwa mkono.
30 September

RATIBA YA SOKA BONGO NA ULAYA SIKU YA LEO SPT 30Tanzania- Vodacom Premier League.
16:00 Majimaji fc vs Kagera Sugar
16:00 Yanga vs Mtibwa Sugar
16:00 Ndanda Fc vs Lipuli Fc
16:00 Singida United vs Azam Fc
16:00 Mwadui vs Mbeya City
16:00 Mbao vs Tanzania Prisons
16:00 Ruvu Shooting vs Njombe Mji Fc.

Friday, 29 September 2017

29 September

ISHARA YA KIDOLE CHA KATI KUMGHALIMU DELE ALLI


Dele Alli apigwa marufuku kwa kuonyesha ishara ya kidole cha kati

Kiungo wa kati wa Uingereza Dele Alli amepigwa marufuku kutoshiriki mechi moja ya kimataifa kufuatia hatua yake ya kuinua kidole cha kati wakati wa mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Slovenia.

29 September

KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR DHIDI YA YANGA
Klabu ya Mtibwa Jumamosi ya tarehe 30.09.2017 inataraji kushuka uwanjani kukabiliana Young Africans katika mchezo wa mzunguko wa 5 wa ligi kuu bara( Vodacom Premier League) katika
29 September

SAKATA LA BASHITE KUIBUA MAPYA KATI YA MEYA NA RC MAKONDA

 MAKONDA

Suala la Meya wa Ubungo, Boniface Jacob na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, limechukua sura mpya baada ya meya huyo kuitwa Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma na kutakiwa kujibu shauri lililofunguliwa la matumizi ya ofisi ya umma kwa shughuli za chama chake.
29 September

AJALI YA GARI YA MVUNJA MBAVU KUN AGUERO

MSAMBULIAJI wa Klabu ya Soka ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina, Sergio Kun Aguero,amepata ajali ya gari usiku wa jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege nchini Uholanzi ambako alikuwa amehudhuria tamasha la muziki.
29 September

USICHOKIJUA KUHUSU WILLY SAGNOL KOCHA MRITHI WA CARLO ANCELOTTI BAYERN MUNICH KOCHA  MPYA BARYAN MUNICH
Tofauti na wengi walivyodhani kwamba Bayern Munich eakimuondoa tu Ancelotti watampa kazi kocha mwingine mwenye jina kubwa lakini wameamua kumpa timu kwa muda Willy Sagnol ambaye pia matokeo yanaweza kuamua nafasi yake.

Pamoja na kutumia muda wake mwingi wa soka katika nchi ya Ujerumani lakini Sagnol sio Mjerumani, Sagnol ni raia wa Ufaransa na alizaliwa Ufaransa katika jiji la Ettiene, hiyo ilikuwa mwaka 1977.

Sagnol katikati ya mwaka 2002 na 2009 aliitumikia Bayern Munich katika michezo zaido ya 180 huku akifanikiwa kubeba makombe 10 na klabu hiyo, ni wazi kwamba anaijua vyema Bayern na anajua utamaduni wa klabu hiyo.

Mwaka 2008 Sagnol aliingia katika vichwa vya habari nchini Ujerumani baada ya ugomvi mkubwa kati yake na kocha wa Bayern Munich kipindi hicho Ottmar Hitzfield ugomvi uliopelekea Sagnol kutoswa katika kikosi cha Bayern kilichosafiri kwenda kucheza na St Petersburg.

Sagnol mwaka 2000 pia aliingia katika mzozo na klabu ya Ufaransa ya Monaco kuhusu maslahi baada ya Sagnol kudai ya kwamba Monaco walikuwa wakimlipa kiasi kidogo sana cha pesa na kumuona mjinga kwa kuwa alikuwa na umri mdogo kitu kilichomfanya kuachana nao.

Sagnol ambaye kwa mashabiki wa Bayern anafahamika kama “The God Of Cross” aliwahi kuifundisha klabu ya Ligue 1 ya Bordeaux lakini pia amewahi kuifundisha timu ya taifa ya Ufaransa chini ya miaka 21 na baada ya uwepo wake katila benchi la ufundi la Bayern Munich sasa anakwenda kuwa kocha mkuu.like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
29 September

RATIBA MECHI LIGI KUU BARA WEEK HIILigi Kuu Tanzania inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi siku ya kesho kwa viwanja sita ambapo bingwa wa kombe la shirikisho ASF, Simba Sc anatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na wapiga debe wa mji wa shinyanga.
29 September

MAGAZETI YA LEO 29 SEPT 2017Magazetini leo Ijumaa Septemba 29,2017. Subscriber katika blog yetu Na kulike page zetu ilikutumiwa Habari zote kiganjani.ni rahisi mno bofya mara moja kuweza kuingia katika orodha ya watumiwa Habari wetu

Thursday, 28 September 2017

28 September

BUNGE LAMNYANGANYA MBOWE GARI LINALOTUMIKA MATIBABU YA LISSU


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimesikitishwa na hatua ya uongozi wa Bunge la Tanzania ya kulichukua gari la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe alilokuwa akilitumika kwa shughuli za matibabu ya Tundu Lissu jijini Nairobi .