RONALDO AWASHINDAMESSI ,BUFFON NA KUWA MWANASOKKA BORA WA ULAYA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 24 August 2017

RONALDO AWASHINDAMESSI ,BUFFON NA KUWA MWANASOKKA BORA WA ULAYA


Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Uefa Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.


Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.

Hata hivyo ilionekana tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.

No comments:

Post a Comment