EDUSPORTSTZ

Edusportstz ni blog maalumu kwa habari za michezo,tetesi za usajili, ligi kuu vpl, epl na laliga pamoja na habri za soka za kimataifa.

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 5 August 2017

RAIS MAGUFULI AMALIZA BIFU LA MAKONDA NA RUGE JUKWAANI
Paul Makonda akishikana mkono na Ruge Mutahaba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amemaliza bifu kubwa lililokuwepo kati ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kuwakutanisha wawili hao jukwaani na kuwataka washikane mikono.

Tukio hilo la aina yake, limetokea kwenye Kijiji cha Chongoleani, Tanga ambapo kulikuwa na tukio kubwa la uwekaji wa jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda mpaka kwenye Bandari ya Tanga.

No comments:

Post a Comment