BREAKING NEWS: OFISI ZA FATUMA KARUME NA LAWRENCE MASHA ZATEKETEA KWA MOTO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 26 August 2017

BREAKING NEWS: OFISI ZA FATUMA KARUME NA LAWRENCE MASHA ZATEKETEA KWA MOTO

Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha
zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, zimewaka moto leo asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Chanzo cha moto huo na hasara iliyosababishwa, bado havijafahamika na habari zaidi zitaendelea kukujia.

Muonekano wa mbele wa ofisi hizo huku moto ukiendelea kuwaka.

Muonekano wa ndani wa ofisi hizo.