BREAKING NEWS: MBUNGE ESTHER BULAYA ATIWA MIKONONI MWA POLISI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 19 August 2017

BREAKING NEWS: MBUNGE ESTHER BULAYA ATIWA MIKONONI MWA POLISIJESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wabunge Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Tarime.

No comments:

Post a Comment