BREAKING NEWS: Basi la Sharon Laua wawili - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 2 August 2017

BREAKING NEWS: Basi la Sharon Laua wawili
Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la
mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.


Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.

No comments:

Post a Comment