600 KUOKOLEWA PWANI YA HISPANIA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 17 August 2017

600 KUOKOLEWA PWANI YA HISPANIA
Wahamiaji wakijaribu kuingia Ulaya

Walinzi wa pwani ya Hispania wamewaokoa karibu watu mia sita kutoka katika vyombo mbalimbali vya usafiri majini ikiwemo, bota majahazi yaliyokuwa yakisafiri kutoka nchini Morocco.


Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu elfu nane wamewasili nchini Hispania toka kuanza kwa mwaka huu.


Zaidi ya watu laki moja na 20 wanakisiwa kuzama maji wakijaribu kuelekea Ulaya.


Idadi kubwa ya watu inayokaribia laki moja walifanya safari za hatari kutoka Libya kwenda Italia tangu kuanza kwa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment