Watu 11 washambuliwa kwa risasi Mexico - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Friday, 14 July 2017

Watu 11 washambuliwa kwa risasi Mexico


Kundi la watu 11 wamepigwa risasi na watu waliokuwa wameficha nyuso zao kwenye sherehe ya watoto katika mji mmoja wa Mexico uitwao Tizayuca.

Polisi wanasema kuwa wamekuta watoto watatu wakiwa hai katika tukio hilo, Sherehe hiyo ilikuwa inafanyikia nje ya nyumba moja ya makazi ya watu.

Kwa siku za karibuni Mexico imekua ikishuhudia uhalifu unaodhaniwa kufanywa na watu wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.