
Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita,
yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.
Shule hizo ni
- Kiembesamaki Unguja
- Hagafilo (Njombe),
- Chasasa (Pemba),
- Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na
- Ben Bella (Unguja).
Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni
- Meta (Mbeya),
- Mlima Mbeya(Mbeya)
Nyingine ni
- Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na
- St Vicent(Tabora).
No comments:
Post a Comment