Harmorapa atinga msibani kwa Waziri Mwakyembe - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 18 July 2017

Harmorapa atinga msibani kwa Waziri MwakyembeMsanii Hamorapa ameungana na Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, leo wameshiriki katika ibada ya kumuaga mke wa Dk Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe.

Pamoja na Mkapa, viongozi kadhaa wa Serikali akiwamo Jaji Kiongozi, Katibu Mkuu Kiongozi, mawaziri, wake wa viongozi wastaafu, wake wa mawaziri, wanasiasa na wasanii wameshiriki ibada iliyofanyika katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.

No comments:

Post a Comment