Trump na Putin uso kwa uso wiki ijayo - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 30 June 2017

Trump na Putin uso kwa uso wiki ijayo


Trump na Putin walikubaliana kufanya kazi pamoja siku za nyuma

Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa Rais Donald Trump atakutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wiki ijayo, ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa nchi 20 zilizoendelea zaidi kiuchumi duniani (G20).

Itakuwa mkutano wa kwanza wa ana kwa ana baina ya viongozi hawa wawili.

Mshauri wa masuala ya ulinzi wa Marekani H.R. MacMaster amesema bado hakuna mada maalumu iliyopendekezwa.

Mapema msemaji wa ikulu ya Kremlin alithibitisha uwepo wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment