PICHA 11: Nyumba aliyonunua Rais mstaafu Obama - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Friday, 2 June 2017

PICHA 11: Nyumba aliyonunua Rais mstaafu Obama
Rais wa Marekani aliyemaliza muda wake Barack Obama ameamua kuendelea kuishi Washington DC na familia yake hadi binti yake mdogo aitwae Sasha (15) atapomaliza masomo yake.

Nyumba hii yenye vyumba tisa ipo katika mtaa wa kifahari wa Kalorama Washington DC Marekani na imeripotiwa walikua wakiishi humo kwa siku nyingi kama Wapangaji lakini sasa wameamua kuinunua.

Taarifa ya BBC inasema Msemaji wa Obama amenukuliwa akisema Famili ya Obama itaendelea kuwepo Washington DC kwa kama miaka miwili na nusu hivyo hii nyumba ina umuhimu kwao.