MESSI ATAJWA REAL MADRID KUZIBA PENGO LA RONALDBaada ya kuepo kwa tetesi za nyota wa klabu ya Real Madrid "Christiano Ronaldo" kuondoka klabuni hapo,Rais wa klabu hiyo Frolentino Perez amesema klabu hiyo ingependeza kama ingelimnasa nyota hatari wa klabu ya Barcelona " Lionel Messi".

Kwa mujibu wa chanzo imeripotiwa kuwa Perez amesema hayo baada ya shinikizo la Ronaldo kuondoka kushika mashiko,Perez "Of course we would have loved to have had Messi at Madrid," Perez amekiambia chanzo ambacho ni Onda Cero.

Messi ambae kwa sasa yupo na klabu yake ya Barcelona, amejiunga na klabu hiyo katika msimu wa mwaka 2004 hadi sasa.

Artikel Terkait