WAZIRI NCHEMBA KUTOA YAKE YA MOYONI KUHUSU MAUAJI YA KIBITI - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 22 May 2017

WAZIRI NCHEMBA KUTOA YAKE YA MOYONI KUHUSU MAUAJI YA KIBITI
Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba amesema serikali haiwezi kuvumilia mauaji ya mara kwa mara kama yanayotokea Somalia.
Akizungumza katika jiji cha Bungu, Kibiti ilipo kambi ya Polisi wanaotunza amani, na kuwataka polisi hao kusonga mbele katika mapambano ya kuwasaka wauaji.

Amesema wauaji na wanaoshirikiana nao wapo hapa hapa Kibiti na hivyo waziri huyo aliagizwa wote wakamatwe.

“Kibiti haiwezi kuwa kama Somalia hata siku moja. Wauaji wamejichanganya na raia wema na sasa tuwamulike hadi wapatikane,” amesema

Amesema umefika wakati tuondokane na dhana kuwa wauaji wamekimbilia mahali pasipojulikana ilhali wapo hapa hapa Kibiti

No comments:

Post a Comment