EDUSPORTSTZ

Edusportstz ni blog maalumu kwa habari za michezo,tetesi za usajili, ligi kuu vpl, epl na laliga pamoja na habri za soka za kimataifa.

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 4 May 2017

Uteuzi mwingine wa JPM leo May 4, 2017


Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Taarifa iliyotolewa leo May 4, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuziwa Prof. Egid Beatus Mubofu umeanza May 2, 2017.
Prof. Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

No comments:

Post a Comment