News Alert: WACHIMBAJI WA MADINI WAFARIKI KWA KUKOSA HEWA MGODINI TANZANIA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 20 May 2017

News Alert: WACHIMBAJI WA MADINI WAFARIKI KWA KUKOSA HEWA MGODINI TANZANIA


Wachimbaji wawili wadogo wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa.

Wananchi wa Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa wakiwa wamebeba mmoja kati ya miili ya wachimbaji wadogo wawili waliokufa mgodini kwa kukosa hewa leo

Miili ya wachimbaji wadogo wawili katika mgodi ya Mamweli Msigwa ukiingizwa kwenye gari la polisi


Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi katikati mwenye kofia nyeusi akionyeshwa shimo la mdogi wa dhahabu ambalo limesababisha vifo vya watu wawili


Wananchi wakiwa eneo la tukio

Askari polisi na wananchi wakitazama mgodi huo uliouwa


Milili ya wachimbaji wadogo wawili walipoteza maisha mgodini leoKamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati wakichimba madini leo asubuhi
Mmiliki wa mgodi huo Samweli Msigwa kushoto akihojiwa na polisi ,katikati ni kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius MjengiKamanda wa polisi mkoa wa Iringa Julius Mjengi kushoto akitazama shimo la mgodi katika kijiji cha Msuluti kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa ambalo wachimbaji wawili wadogo wawili walipoteza maisha kwa kukosa hewa wakati wakichimba madini

No comments:

Post a Comment