EDUSPORTSTZ

Edusportstz ni blog maalumu kwa habari za michezo,tetesi za usajili, ligi kuu vpl, epl na laliga pamoja na habri za soka za kimataifa.

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 26 May 2017

Nchi kumi (10) zinazongoza kwa kuwa na wasomi wengi barani afrika


Kwa mujibu wa UNDP na msaada wa mtandao wa answers.com umetabainisha kuhusu nchi kumi ambazo zinaongoza kwa wasomi . na wasomi hao ni wale ambao wamepata kuanzia degree moja.

Na nchi hizo ni;

Zimbabwe.
Tunisia.
Nigeria.
Misri.
Afrika kusini.
Ghana
Kenye
Uganda
Zambia.
M oroco.

No comments:

Post a Comment