Nape amemwandikia JPM baada ya kupokea ripoti ya mchanga - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 24 May 2017

Nape amemwandikia JPM baada ya kupokea ripoti ya mchanga

Baada ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Magufuli kumkabidhi ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliokuwa kwenye makontena 277 yaliyozuiwa kusafirishwa kwenda nje, Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amempongeza JPM kwa maamuzi yake.

Nape ameandika kwenye twitter yake >>> Hili la Mchanga…! Big Up!<<< – Nape Nnauye.

View image on TwitterFollow

Nape Moses Nnauye
✔@Nnauye_NapeHili la Mchanga...! Big Up!
1:49 PM - 24 May 2017

9292 Retweets
488488 likes

No comments:

Post a Comment